Tengeneza Aina 10 za Sabuni ya Kipande, Papo Kwa Papo bila Mashine

Tengeneza Aina 10 za Sabuni ya Kipande, Papo Kwa Papo bila Mashine

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Sabuni aina 10, ikiwemo sabuni ya udongo, mawingu, manjano, kawaida,mjeshi jeshi, ubuyu, alovera, mchaichai, mchele na chungwa

MUSA POSTAR.png
 
Sabuni aina 10, ikiwemo sabuni ya udongo, mawingu, manjano, kawaida,mjeshi jeshi, ubuyu, alovera, mchaichai, mchele na chungwa.

Piga 0713-039 875 kwa maelezo zaidi
View attachment 1929257
 
Mkuu naomba uweke maelezo zaidi Mkuu maana hii picha nao ni kama kichwa cha habari vile.

Naomba uelezee yafuatayo:
  • Mafunzo yanatolewa kwa njia gani?
  • Kila mkoa mnapatikana wapi? (binafsi nahitai kujua Arusha)
  • Aina ya hizo sabuni
  • Hiyo kozi ni lini inaanza?
  • Ni mafunzo ya muda gani?

Mkuu nimeona umeweka namba ya simu ila hata hapa unaweza kujibu kurahisisha mambo.
 
Back
Top Bottom