Tengeneza mkaa kwa kutumia karatasi

Tengeneza mkaa kwa kutumia karatasi

LIBRARY

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2012
Posts
231
Reaction score
238
Ndio kama kichwa cha habari kinavyosema, kwa kutumia makaratasi amnayo umekua mkiyatupa yanaweza yakawa chanzo cha nishati ya kupikia kama mkaa.

Kwa maelezo zaidi pamoja na mwongozo wa step kwa step pitia hapa.

Steps
1. Kusanya makaratasi Mengi kiasi unachotaka
2. Yaloweke kwenye maji kwa siku nzima
3. Yafikiche kwa mkono wako hadi yasagike kabisa
4. Kamua maji kwa kutengeneza vitonge
5. Anika Juani
Baada ya kusoma na kuelewa sambaza neno. "Okoa miti Jenga uchumi wako".

Pitia zaidi hapa udownload na kitabu

http://chapisha.com/?p=187
 
Back
Top Bottom