NDIO hobby yangu,,,ila napenda squat kuliko maelezo,,,Leo nimegonga kg 150 full squat fully bench,, hapa mwili upo comfortable, ,,ila ili mwili ujengeke kula ni muhimu sana kuliko hata izo wanazoziita poda, mazoezi bila kula na kunywa maji ya kutosha, utamaliza poda zote sijui (creatine ,au wheyprotine)na hauto gain,,,,,, mlo muhimu,,,,na vidonge vya vitamin kama vile wanaviita GEMSOMNY vya kikorea