TENGENEZA PESA KUPITIA MTANDAO WA INTANETI

KDS

Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
46
Reaction score
15
Habari wakuu,

Naleta kwenu hasa vijana ambao hamna kazi, sasa usilalamike tena ingia kwenye linki hii ifuatayo na upate pesa kwa kuangalia matangazo. Kwa siku unaweza pata TSh.500,000/= mpaka 1000,000/=kutegemeana na juhudi yako ya kukaa kwenye komputa ikiwa na mtandao wa komputa. Ingia kwenye linki hii http://darmoney.club/489502127223/
 
jaribukuingia mimi nimeona nisiwe mchoyo wakati pesa zipo tu, changamka mkuu.
hujajibu inavyotakiwa mkuu..link naiona sio kwamba nimeshindwa kuingia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Boss we ushapiga ngapi ?

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Mavi kabisa fata link ukaambiwe uinvite watu kadhaa halafu na wao wainvite wenzao ndo upewe hela! Mm swali langu ni moja! Hivi wakiamua wasikupe tu hela na ushapoteza muda wako kufanya kazi yao utaenda kulalamika wapi? Na hakuna mkataba wowote mliosaini? Mm huo u MAKU sifanyi hata siku moja baki na link yako PAMBANA NA HALI YAKO

Million dollars
 


Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…