Naitwa @realivanbreaker ni Digital Marketer na pia ni Tech-Preneur. Nina fanya shughuli mbalimbali kama kuandaa Contents, kushoot video na kupiga picha ( Commercial/Corporate videos & photos )
Na pia kwenye Extra time yangu huwa natengeneza Posters, Logos, na kazi za graphic designing nyingine nyingi.
Unaweza check kazi zangu kupitia Portfolio yangu ambayo ni Instagram page yangu @realivanbreaker
Karibu nikutengenezee kazi utayohitaji hasa Posters na Logo[emoji4] na hata kuandaa content videos