Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF

Wewe rikiboy ulianzisha uzi wa Kimasihara naomba niku shauri..Kwenye huo Uzi ukisema Uuze na Kondom hupigi hela?..Acha tamaa sasa uza zakiume tu..Alafu unaziita Kondom za kimasihara hupigi hela?[emoji28][emoji28][emoji28]
walahii hii kimasihara ishakuwa brand ni uvivu wangu tu na hela sinaaa...!! 😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…