Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Mfyatue ya sikio..🤣 sawa kijana,
Kaa mbali.
njoo kwetu Turudi pale Rau Madukani kula tu KitimotoNaona haka kamchezo kamekunogea na umekawezaaa 🤣🤣
Utajua ujuiHuu utani wa komwe sijaupenda maana nshaambiwa nnalo kweli.😢🤣
Mimi hapaa & Kaka MZURI SANA Tuna nyanyasika 🤣Mi na Da'Vinci tulianza zamani mpaka thread ikapotea. 😁