fikiriaassistant
Member
- Feb 8, 2023
- 8
- 17
Artificial Intelligence in Tanzania: Tumetengeneza Artificial Intelligence platform ambayo inaweza kukusaidia kuongeza ufanisi na productivity ktk kazi zako, leo nita share vitu vichache kidogo ambavyo inaweza kukusaidia
- kuelezea documents za kisheria lugha rahisi sana (legal documents explainer)
-- inaelezea legal doc (contract, terms, policies, MOU...) kulingana na uhusika wako kwa legal issue hiyo; kwa lugha nyepesi
- Auto generator ya hadithi/story pamoja na picha zake
-- unaipa command maneno mafupi, yenyewe inakupa stori full; unaset ije na stori na picha yenye vigezo vipi
- Auto generator assistant ya mikataba kwa wanasheria
-- unaipa vigezo, wahusika, issue... yenyewe inakusaidia kuandaa mkataba kwa just seconds
- Auto generator ya Lessons plans (personalised learning plans)
-- Mwalimu una set vigezo vyako kama umri, darasa, topics, objectives, curriculum standards... then yenyewe inaandaa in seconds. kuandaa lesson plan kwa kila mtoto ni ngumu ila ndio future ya elimu ilipo, so ni fursa kwa walimu sasa kufanya PERSONALISD LEARNING kwa msaada wa AI... pia
- Generator ya Picha (photos, illustrations, arts)
-- hapa labda unahitaji picha kwajili ya mambo yako... unacho fanya ni kuweka command maneno machache ambavyo picha unataka iwe then inakuandalia picha kulingana na unavyotaka... pia waweza set picha kwa kuweka vigezo vya camera kama ISO, metering, camera angle, proximity, white balance...
- Generator ya Barua
-- labda unahitaji kuandika barua mbalimbali za kazi, kibiashara... unachofanya ni kuipa maneno na specifications chache za barua kisha yenyewe inakuandikia kwa lugha bora, na kwa haraka... pia waweza set iandike kwa tone gani (humble, persuasive, profesional, negotiation, business, analytical, intimidation...)
- Generator la Majina ya kibiashara na organisations
-- hii imekaa poa, unaipa maneno machache kuelezea kuhusu business yako... unachagua jina liwe staili gani (compound word, latin names, unaimaginable words, Swahili words, animal, plant...) kisha inakupa mapendekezo ya majina 30 yaliyo bomba
- Kijibu maswali ya vyuo
-- hapa kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali... una maswali yako au pastpapers, unaipa swali kisha yenyewe ina kupa jibu la swali lako... sio hivyo tuu, tumei-set ikupe jibu lakini ikufundishe hapohapo uelewe concept maana kuelewa ni bora zaidi... So inakusaidia kukufundisha uwe super zaidi
- Kijibu maswali ya Shule za Chekechea, Msingi na Sekondari
-- hii inaandika essay ndefu iliyo sheheni point kwa lugha safi... unaipatia maswali ya mtihani au kitabu kisha itakupa jibu na pia itakufundisha concept kuhusu topiki ya swali hilo ili uelewe zaidi
- Generator ya Questions na Marking Scheme yake
-- Kwa kutumia kanuni za Bloom's Taxonomy, tumetengeza iandaae maswali na majibu yake kulingana na vigezo ulivyoipa... una set umri wa mwanafunzi, unataka umpime mwanafunzi kitu gani, somo gani, topiki, level ya ugumu wa swali, unataka umpime cognitive ipi (knowledge, comprehension, application, analysis, synthesis and evaluation), vigezo vya curriculum... kwa mtu yeyote anayefundisha, mwalimu, trainers, motivator, coach... hii inaweza kuwa msaada
---- na nyingine nyingi tunazidi kuziongezea kulingana na uhitaji
Ijapokuwa AI duniani imefika kiwango kizuri cha ubora, inahitajika kuitumia bado kwa uangalifu... kuna muda mwingine inaweza kukupa majibu ambayo hayapo sawa... so inahitajika uweze kurirudia jibu na kulihakiki kabla ya kulitumia.
-- Nimeweka video link moja hapa chini uweze ona mfano kidogo ufanyaji kazi wake