Tengeneza Stori Fupi na Picha Zake kwa Command za Maneno Machache Tuu

Baadhi ya Tool Ambazo Tumeziongezea Siku Recently
- ijapokuwa ya Data analysis bado inatusumbua kutoleta majibu exactly, inachambua maelezo vyema na ku make conclusion ila ina confuse data... Maybe itabidi tuangalie model nyingine zilizo specialize in data analysis...


 
Mwanangu una lazimisha credit kama wewe ndio Open AI?
Halafu matusi ya nini wakati mwenzako hajatumia hayo majina kama "Pumbavu" kwako?

Pia hata OpenAI hawaja tumia ma billions ya dollars ku develop hizo Model kama unavyosema
Yes it's expensive ku run queries za LLM kama GPT lakini architecture nyuma ya ChatGPT, Transformer ilikua developed na researchers wa Google na kuwekwa public, wame include mpaka runnable source code for free

Mtu anaweza soma ile paper na kuifanyia implementation, au ku add little twist kwenye original architecture kama walivyofanya OpenAI na kui train na billions of data, public data ambazo tayari zilikusanywa na tovuti kama common crawler na Wikipedia kabla ya kuundwa kwa Open AI.
Na upo hapa una insist credit kwa OpenAI

Na hana haja ya kutoa credit kama akitaka, hizo ni Paid API na hamna sehemu Open AI walipo insist lazima uwape credit kwenye application itakayo kuwa powered na Models zao.

Na una expect aje na Model kubwa kama GPT peke yake? Are you serious?
 
Tulia wewe huyu mfanyakazi mwenzako amesema amedevelop na kutrain hizo model kitu ambacho sio kweli halafu pili fuatilia kiasi cha hela kilichotolewa na microsoft kwenye hii project ndio utajua ukubwa wake halafu hicho anachokifanya microsoft wameshaintergrate kwenye bing kwahiyo anapoteza Wakati. Njooni na kitu kipya
 
Una assume vitu sana, nimekwambia tunafanya kazi wote?
Hujajibu hoja, wapi Open AI wame insist uwape credit ukitumia API zao?

Microsoft ku invest kiasi kikumbwa cha pesa ni kwa sababu hizo Model ni expensive to develop kama ulivyodai au kwa sababu imeona potential ya hio technology?

Issue ya yeye kuwa na wrong au right product sio juu yako, wewe hata ulicho jaribu kipo wapi? na hata kama ulikua na mtazamo tofauti ungemjibu kistaarabu kuliko kuanza mipasho na matusi kama ulivyofanya, watu wazima hatu discuss hivyo, hio ndio point yangu

Thus why hata mwana amekupuuza, hajakujibu, amekuona mtoto.
 
Acheni utapeli wenu nini kipya mlichokifanya ambacho chatgtp haikifanyi? au mlikuwa mnataka tuwaone bonge ya wataalamu kwa kufikiri mlichokifanya hamtashtukiwa? Na ndio maana hakuna mahali mlipoitaja openAI kwenye maelezo yenu wakati mnaintroduce huu utapeli wenu. Halafu mimi siwezi kufanya ujinga wa kutengenezea API za watu interface halafu nije hapa niseme nimedevelope tools hiyo inafanywa na programmer uchwara
 
Umeona ulivyo tupu? Una ushahidi gani kuwa mimi na mtoa mada tunajuana au tumefanya hio project pamoja?
Nimekutana tu na huu uzi, nikaona comment zako za mipasho na matusi ambazo mtu yoyote timamu hatozipenda haswa kwenye jukwaa kama hili linalofatiliwa na wengi kwa lengo la kujifunza.

Pia unachafuaje brand ya mtu kwa maneno yasiyo na mashiko?
Toa sababu kwanini huo ni utapeli?
Kwa sababu tayari kuna free alternative ya hiki alichofanya?

Fact kuwa Open AI wame release API kwa ajiri ya ku access Model zao ni kuwaruhusu developers ku build web au app zinazo run models zao kwa mahitaji yao maalam, bado ana uwezo wa kuzi fine tune zifanye specific tasks tofauti na ChatGPT kama akiamua kuwa serious

Point kubwa ni kwamba hii ni idea yake na amejaribu, iwe na soko isiwe na soko ni idea yake, kama ulikua na mtazamo tofauti ungetoa mchango kwa staha, cause ukifatilia comment hakuna sehemu yoyote alipo kutukana au kutumia lugha unayotumia.
Jifunze adabu, mtu anaweza kukushusha thamani kwa jambo dogo kama hili.
 
Waweza kuwa right lakini kwa nini usitumie lugha ya kistaarabu? Itakugharimu nini ?
 
Nyie kubalini hakuna jipya lililofanyika hapo ndio maana kama openAi wakiamua kufunga mfumo wao na nyie hivyo vifront end vyenu vinapotea moja kwa moja na ndio maana mkiulizwa kwanini majibu hivyo mnavyoiviita tool vinaishia 2021 mnajing'atang' ata acheni utapeli
 
Hii brother ni chat gpt umechua API umeconnect kwenye site yako then unasema umetengeneza .....unajiita kabisa tanzania artificial intelligence ......hiyo si chat gpt ya open AI ww umEUNGA TU..... wadanganye mazunde mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…