Such a great piece of information mkuu[emoji23]!

Nilikuwa natamani kufanya hii kazi ila coding from scratch ndio kitu sikuwa nataka. Now umenipa mwangaza. Now nmeona jinsi wana wanaouza Website laki 4 wanapata hela kiasi gani.
Hio ni WordPress mzee...
Kama unataka kuwa WordPress developer huna budi kusoma PHP programming

Cause ndio language iliyotumika Ku write Word press..

Huo Uzi ni special kwa normal users wanataka kuwa na websites za haraka

Japo zitakua limited in functionalities na in secure...cause zote zina share the same back end....
Website moja ya WordPress ikiwa hacked basi zote zinakua kwenye risk...

Hakuna startup inayotumia WordPress

Sio for developers
 
hapo nitapata package ya kutuma email na storage ? ama kutumia email ya ID inayoendana na domain yangu?
 
hapo nitapata package ya kutuma email na storage ? ama kutumia email ya ID inayoendana na domain yangu?
Kama unahitaji hivyo vyote itabidi ununue package ya juu zaidi, ukifungua website yao utaona details zote za kila package na utakachopewa.
 
Nyie hamjui kwanini mtu ana charge 400000 kwaajili ya website. Website unayotengeneza na template sio customizable. Hauwezi kuweka features unazo ziitaji. Pili developers huwa wanaanza code from scratch kila kitu, hii inasaidia website inakua optimized, yaani picha zinakuwa size ndogo e.t.c hii inasaidia website yako iwe ina load faster. Pia kuna code kama javascript ambazo sidhani hizi website creator wanazo. Kwasababu inabidi ziendane na html yako. Yaani bado web developers wanahitajika sana kwasababu hizi tool haziwezi kufikiria logically, zikikaririshwa zimekaririshwa. Na mengine mengi amabayo sahivi sijayakumbuka.
 
Much blessings broooh
 
Its only gud to use word press only for static website not dynamic hard coding is awesome
 
Umetoa .mwanga mzuri sana, Hizi CMS kupitia wordpress naona ndio zinazidi kushika kasi zaidi mambo ya kucode from scrach mpaka kitu kikamilike kinachukua muda sana, lkn bado hata ukitumia wordpress na theme zinatofautiana bado elimu ya coding inahitajika tu, kwenye SEO wordpress wanajitahidi kurahisha hasa ukitumia plugin kama yoast, rank math etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…