zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Habari wana.
Nimenukuu huu mstari kutoka katika wimbo wa Fid Q Sumu. Unasema"Hawaamini kutengeneza Kiba ama Diamond wawili wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mwingine awe dili"
Tasnia yetu ya mziki pengine haikui kwasababu ya hii kitu.Ma team mara team Diamond mara team Kiba. Kama kweli wewe ni shabiki wa muziki mzuri kwanini uwe na utimu na ushabiki uliojikita sehemu moja.
Na ndio maana industry yetu haikui ukiangali nchi zilizoendelea kimuziki hawana mambo haya Yes,utimu unaweza kuwepo kidogo Ila sio hadi kupelekea chuki binafsi.
Unakuta mtu eti unaamuliza msanii wako pendwa ni nani anakwambia Alikiba,unamuuliza vipi kuhusu Diamond anasema simpendi ukiimuliza kwanini atasema basi tu simpendi.
Ukitaja wasanii wakubwa wa Nigeria au Marekani mpaka utachoka Ila ukija hapa Bongo eti muziki ni Diamond na Alikiba.
Yaani mashabiki wanaconcetrate Sana kwa wasanii wachache tu ndio maana support inakua ndogo kwa wasanii wengine.Kila kitu mjini ni Kiba na Diamond.
Tungekuwa na support kwa sasa tungekuwa na wasanii wengi mfano wa hawa Ila sasa chuki unafiki na u team vinaumaliza na vinaua vipaji vingine vichanga kwenye muziki