Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Hivi mnawekaje Tanki la maji mbele ya jukwaa!? Hili Tanki linazuia watazamaji ikiwapendeza tafadhali lihamisheni hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo tank hapo ndio lanini lo??
La kuzuwia watazamaji.Hilo tank hapo ndio lanini lo??
Unaweza kuta ndilo linalotumika kwaajili ya kumwagilia hizo nyasi uwanjaniHivi hilo tanki linaweza kuwa kwa ajili ya kazi gani hapo 😀 kunawisha washangiliaji au
Limewekewa maji ya upakoHivi hilo tanki linaweza kuwa kwa ajili ya kazi gani hapo 😀 kunawisha washangiliaji au
Utakuwa wala hujakosea sana 😀Unaweza kuta ndilo linalotumika kwaajili ya kumwagilia hizo nyasi uwanjani
Wale jamaa wa Dodoma CBD ni kubwa kuliko Mwanza hawachelewi kulihesabu hili nalo kama moja ya magorofa yanayo ipamba makao makuu.Hivi mnawekaje Tanki la maji mbele ya jukwaa!? Hili Tanki linazuia watazamaji ikiwapendeza tafadhali lihamisheni hapo.
View attachment 2992819View attachment 2992820
Tangazo la wadhamini 😂Hivi mnawekaje Tanki la maji mbele ya jukwaa!? Hili Tanki linazuia watazamaji ikiwapendeza tafadhali lihamisheni hapo.
View attachment 2992819View attachment 2992820
Hesabu ufeli wewe halafu chuki kwa mainjinia. Una uhakika gani injinia ndie alieshauri hilo tank likae hapo?Injiniaz wetu ni vichekesho sana.
Halafu wanavyopenda kujimbwafai sasa
Achana na sisi...Hivi mnawekaje Tanki la maji mbele ya jukwaa!? Hili Tanki linazuia watazamaji ikiwapendeza tafadhali lihamisheni hapo.
View attachment 2992819View attachment 2992820
Wanadhani mna kiu.Waweke bia.Sasa tenki la maji la nini?Hivi mnawekaje Tanki la maji mbele ya jukwaa!? Hili Tanki linazuia watazamaji ikiwapendeza tafadhali lihamisheni hapo.
View attachment 2992819View attachment 2992820
Hivi,Tanzoo kuna mainjinia?Hesabu ufeli wewe halafu chuki kwa mainjinia. Una uhakika gani injinia ndie alieshauri hilo tank likae hapo?