Tenki za Abrams zilisifika sana zikiwa mjini, zilipoingia kwenye uwanja wa vita "Ukraine" ni cha mtoto tu

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
4,175
Reaction score
2,294
Majigambo, kelele na fujo za kuzisifia Tank za Abrams katika Luninge, magazeti, radio na mitandao mbalimbali na kutuaminisha sisis wasomaji wa dunia nzima kuwa Ukraine inakwenda kushinda vita.

Ndugu zangu, Marekani na wenzake west wanakelele sana mara leopard na ..........na....

Kuna wengi wana vitu lakini wako kimya tu. Habari kamili iko hapa chini Chanzo "AP news".

WASHINGTON (AP) — Ukraine has sidelined U.S.-provided Abrams M1A1 battle tanks for now in its fight against Russia, in part because Russian drone warfare has made it too difficult for them to operate without detection or coming under attack, two U.S. military officials told The Associated Press.

The U.S. agreed to send 31 Abrams to Ukraine in January 2023 after an aggressive monthslong campaign by Kyiv arguing that the tanks, which cost about $10 million apiece, were vital to its ability to breach Russian lines.

But the battlefield has changed substantially since then, notably by the ubiquitous use of Russian surveillance drones and hunter-killer drones. Those weapons have made it more difficult for Ukraine to protect the tanks when they are quickly detected and hunted by Russian drones or rounds.

Five of the 31 tanks have already been lost to Russian attacks
 
Abrams tanks viewed as prime targets in Ukraine and have flaws — CNN

According to the report, the US military’s main $10 million battle tanks that were supplied to Ukraine don’t have sufficient armor to protect them from the latest weapons
NEW YORK, May 29 American M1 Abrams battle tanks have critical flaws that call into doubt their utility in the Ukrainian conflict, CNN reported, citing Ukrainian crews of the tanks.

The US military’s main $10 million battle tanks that were supplied to Ukraine don’t have sufficient armor to protect them from the latest weapons, according to the report.

"Its armor is not sufficient," said one Ukrainian crew member. "It doesn’t protect the crew."

"This is the war of drones. So now, when the tank rolls out, they always try to hit them," he went on to say.

Another crew member said the US tanks are the "number one target."

"Without defense, the crew doesn’t survive at the battlefield," he said.

Russian officials have repeatedly stated that funneling weapons into Ukraine will not diminish Russia’s resolve or change the course of the special military operation in Ukraine. Earlier in May, then-Russian Defense Minister Sergey Shoigu said Ukrainian losses so far in 2024 had totaled more than 111,000 people and 21,000 units of weapons and military equipment.
 
Mrusi anamaliza vita lini, hicho ndicho cha muhimu kwa sasa.
 
Pentagon officials said in April that the Abrams were pulled back from the frontline due to the threat of Russian attack drones, although the 47th said some were still in action, despite the deficiencies that had materialized.

Much of the Ukrainian frontline is now dominated by the use of self-destructing attack drones, tiny and accurate devices that can swarm infantry and even cause significant damage to tanks. The advent of these so called First-Person Vision (FPV) drones, flown by soldiers wearing gaming goggles, has changed the nature of the war, limiting movement and introducing a new element of vulnerability to armored vehicles.

This Ukrainian crew have learned of the Abrams’ limitations the hard way, in pitched battles around the town of Avdiivka, which Russia finally took control of in February. A driver lost a leg when the armor was penetrated. Yet it is not just innovation that is hamstringing the tanks — they appear to have technical issues too.

One, parked under a tree, was almost immobile during CNN’s visit, due to an engine problem, the crew say, despite the vehicle having just been shipped in from Poland. They also complain of how, in rain or fog, condensation can fry the electronics inside the vehicle
 
Vifaru hatari vya Leopard vya Ujerumani vilikula nyundo yenye moto nye nye nye Putin! Vya USA navyo vikaliwa kichwa! Ndoa maana hakuna cha black hawk, f35, f16, Rafale, B1B etc zoote zimezuiliwa kufika kwenye uwanja wa vita lengo ni kuficha uongo wa sifa labla kama watapigana na Zimbabwe au Djibout lakini mbele ya Urusi ni kama vitz mbele ya crown new model
 
Mwaka wa nne huu mtu anapelekwa puta na ka nchi kama wilaya yake
 
Mwamba Putin, the Strongest man in the world right now!!!

Huko mbele vizazi vitasimuliwa habari zake katika somo la Historia.
Dawa yake kijana mdogo tu jot toka pale ukraine kampeleka puta kubwa jinga mwaka wanne huuanahangaika
 
hata jeshi la US/NATO nalo ni hivyo hivyo, wapo front lines kitambo in the nane of mercenaries ila hakuna kinachobadilika!

kuna mmoja alisema jeshi la NATO liko trained kupambana na nchi ndogo au zile zisizo na nguvu angani...... sasa ishu ya ukraine ni tofauti, warusi ni tofauti na telaban, ndio mana wanagwaya kusogea mazima!
 
Majigambo, kelele na fujo za kuzisifia Tank za Abrams katika Luninge, magazeti, radio na mitandao mbalimbali na kutuaminisha sisis wasomaji wa dunia nzima kuwa Ukraine inakwenda kushinda vita.

Ndugu zangu, Marekani na wenzake west wanakelele sana mara leopard na ..........na....

Kuna wengi wana vitu lakini wako kimya tu. Habari kamili iko hapa chini Chanzo "AP news".

WASHINGTON (AP) — Ukraine has sidelined U.S.-provided Abrams M1A1 battle tanks for now in its fight against Russia, in part because Russian drone warfare has made it too difficult for them to operate without detection or coming under attack, two U.S. military officials told The Associated Press.

The U.S. agreed to send 31 Abrams to Ukraine in January 2023 after an aggressive monthslong campaign by Kyiv arguing that the tanks, which cost about $10 million apiece, were vital to its ability to breach Russian lines.

But the battlefield has changed substantially since then, notably by the ubiquitous use of Russian surveillance drones and hunter-killer drones. Those weapons have made it more difficult for Ukraine to protect the tanks when they are quickly detected and hunted by Russian drones or rounds.

Five of the 31 tanks have already been lost to Russian attacks
Vita yoyote lazima kuna kupiga na kupigwa hata huyo Russia silaha zake zinaharibiwa Sana huko mstari wa mbele....hivyo kupigwa Kwa Abraham tank sio ishu ya maana ....
 
Mwaka wa nne huu mtu anapelekwa puta na ka nchi kama wilaya yake

Why did NATO invade Yugoslavia?

Twenty-five years ago, on March 24, 1999 NATO launched 11 weeks of air strikes on Yugoslavia to force it to end its bloody crackdown on separatists in Kosovo.24 Mac 2024

Kama NATO walichukua wiki 11 kuikoa Kosovo,wanashindwa Nini kuiokoa Ukraine?
Sasa Leo hii wamechukua miaka 2 kujaribu bila mafanikio kutaka kuiokoa
Ukraine.
 
Ni vizuri NATO wakatumia umoja wao kuikoa Ukraine inayomegwa Kila siku kama walivyofanya kwa Iraq iloyoimega Kuwait.
Waingie mazima badala ya kutuma silaha TU zinazopelekea waukraine wapoteze maisha na ardhi.

Operation Desert Storm began 31 years ago — on Jan. 16, 1991 — five months after Iraqi forces invaded and annexed Kuwait. That operation to oust the Iraqis is also known as the Gulf War; it came about after Iraqi President Saddam Hussein refused to withdraw his forces from Kuwait.15 Jan 2022

How long did the Desert Storm war last?

The two phases of Operation Desert Storm were a coalition air operation (January 17–February 24, 1991) and a ground offensive dubbed Operation Desert Sabre (February 24–28).30 Apr 2024
 
Hapa ndo hua natamani wale wachambuzi wa mambo ya kivita kama Proved waje hapa watufafanulie nini ni nini maana ukiwakuta kwenye baadhi ya page wanakwambia kila kinachotoka magharibi ni superior dhidi ya kila kinachotoka mashariki. Wanavokua wanazichambua hizi siraha za west hasa US ni kama kuzishinda zikiwa kazini unahitaji mifumo ya malaika na nguvu za mungu.
 
======================

Kila zana Ina madhaifi yake mkuu
 
Why did NATO invade Yugoslavia?

Twenty-five years ago, on March 24, 1999 NATO launched 11 weeks of air strikes on Yugoslavia to force it to end its bloody crackdown on separatists in Kosovo.24 Mac 2024

Kama NATO walichukua wiki 11 kuikoa Kosovo,wanashindwa Nini kuiokoa Ukraine?
Sasa Leo hii wamechukua miaka 2 kujaribu bila mafanikio kutaka kuiokoa
Ukraine.
Marekani could enter into WW 2 as early as possible but waited for all sides to be weak.

Kuna kitabu Cha Tsu zu, Cha "Art of War"

Vita sio Jeshi tu... Kadri vita inavosogea miaka mingi Ndio Russia wanakuwa dhaifu kijeshi, kiuchumi na Jamii inaichoka Serikali yao.
Ndio maana Silaha zote alizoombwa siku ya Kwanza ya vita anazitokoa kwa awamu
 
Ni vizuri NATO wakatumia umoja wao kuikoa Ukraine inayomegwa Kila siku kama walivyofanya kwa Iraq iloyoimega Kuwait.
Waingie mazima badala ya kutuma silaha TU zinazopelekea waukraine wapoteze maisha na ardhi.

Operation Desert Storm began 31 years ago — on Jan. 16, 1991 — five months after Iraqi forces invaded and annexed Kuwait. That operation to oust the Iraqis is also known as the Gulf War; it came about after Iraqi President Saddam Hussein refused to withdraw his forces from Kuwait.15 Jan 2022

How long did the Desert Storm war last?

The two phases of Operation Desert Storm were a coalition air operation (January 17–February 24, 1991) and a ground offensive dubbed Operation Desert Sabre (February 24–28).30 Apr 2024
Umeuliuzwa ishu ya Russia unaiingiza Yugoslavia...mbona unakuwa kama mwanamke Malaya Una tatalika kama mahindi ya kuchoma😀
 
Back
Top Bottom