Tenki za Abrams zilisifika sana zikiwa mjini, zilipoingia kwenye uwanja wa vita "Ukraine" ni cha mtoto tu

Umeuliuzwa ishu ya Russia unaiingiza Yugoslavia...mbona unakuwa kama mwanamke Malaya Una tatalika kama mahindi ya kuchoma
We utakuwa dogo pumbavu, kwa kila mwenye akili timamu anajua nini mwamba Putin anawafanya wale timu upinde walio katika kale kaumoja kao ka NATO
Anafanya nini....miaka inakatika mamaeee mmekaa kujqzana ujinga Russia Russia huyo mwana wenu wa kawaida ndio maana Ukraine mpaka Leo ipo....
 
Vita yoyote lazima kuna kupiga na kupigwa hata huyo Russia silaha zake zinaharibiwa Sana huko mstari wa mbele....hivyo kupigwa Kwa Abraham tank sio ishu ya maana ....
We unasema sio ishu ya maana. Wapiganaji (Ukraine) wanasemaji?
Maana suala si kupigwa tu, bali zinaonekana kirahisi katika rada (GPS) za drones na kupigwa kirahisi sana.
Msemaji wao kasema - vita vya sasa hivi ni vita vya Drones, hivyo kama silaha yako haijivichi kwa GPS za Drones ni kazi bure. Na akaongeza kuwa Abrams zote ziondolewa katika mstari wa mbele wa mapigano.

Matatizo ya Abrams, maelezo kutoka Pentagon:
1) Pentagon officials said in April that the Abrams were pulled back from the frontline due to the threat of Russian attack drones
2)
A driver lost a leg when the armor was penetrated. Yet it is not just innovation that is hamstringing the tanks — they appear to have technical issues too.
3) They (Ukrainians soldiers) also complain of how, in rain or fog, condensation can fry the electronics inside the vehicle (hizi ndio zisije bongo kabisa, kifuku. Ni za kiangazi tu)
 
We utakuwa dogo pumbavu, kwa kila mwenye akili timamu anajua nini mwamba Putin anawafanya wale timu upinde walio katika kale kaumoja kao ka NATO
Jot anakihenyesha kizee kilisema siku tatu saivi kubwa jinga halielewi muaka wa nne sasa.
 
Kwani NATO ndie anapigana ukraine au ni urusi na ukraine. Piganeni na ukraine mlisema siku tatu mwaka wa nne huu
 
Kumbe ukraine inamegwa mwaka wa nne huu sio imechukuliwa na urusi
 
Unaamini unaweza shinda vita kwa 31 Abraham tanks? We bure kabisa huna ujuacho kwanin Russia hadi sasa Hajashinda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…