TANZIA Terance Wilson "Astro" hatunaye

Huyu alifariki wiki iliyopita tarehe 7 akiwa na umri wa miaka 64.
Unemployment Benefit 40 (UB40), yaani posho ya kutokuwa na ajira unalipwa paundi 40 za uingereza, kibao chao Red Red Wine kilitikisa dunia.
Kingston Town, Sweet Cherry, Cherry oh Baby na nyingine nyingi zilituburudisha
 
Yah kila kilicho na mwanzo kina mwisho,Apumzike kwa Amani Astro
 
Napenda wimbo wao wa "Blue eyes crying in the rain" R. I. P Astro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…