Terence..

Terence..

utu wangu

Member
Joined
May 10, 2008
Posts
52
Reaction score
3
heshima wakuu..

namtafuta terence mwakaliku,mara ya mwisho kuonana ni 5 years ago
tafadhali mwenye contacts zake anisaidie tafadhali.

shukrani in advance.
 
Terence Mwakaliku ofisi yake ilikuwa pale Kinondoni-Mwanamboka na kampuni yake ya PR inaitwa FOOT PRINT.amehitimu hivi karibuni shahada ya sheria katika chuo kikuu cha Tumaini-Dar campus.
 
Terence Mwakaliku ofisi yake ilikuwa pale Kinondoni-Mwanamboka na kampuni yake ya PR inaitwa FOOT PRINT.amehitimu hivi karibuni shahada ya sheria katika chuo kikuu cha Tumaini-Dar campus.[/QUO

Jamani, Hii marketing strategy ya Terence imetoka wp?

Haya Malyafyale, tokamonanetupopo lwenu, bah
 
Back
Top Bottom