mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 549
- 614
Whatsapp MI 0759323948Naomba kujuzwa kwa jicho la kisheria consequenses za employee kuandika barua ya kumnotify employer kwamba hatataka kurenew mkataba ujao kutokana na sababu binafsi siku 28 kabla ya muda wa mkataba wake kumalizika,kuna haki anaweza akazikosa kutoka kwa mwajiri wake?
Kimsingi hawezi kosa haki kwa sababu ni kipindi ambapo Mkataba unaelekea mwisho na ku renew ni hiari ya Employee au employer kuendelea nae.Naomba kujuzwa kwa jicho la kisheria consequenses za employee kuandika barua ya kumnotify employer kwamba hatataka kurenew mkataba ujao kutokana na sababu binafsi siku 28 kabla ya muda wa mkataba wake kumalizika,kuna haki anaweza akazikosa kutoka kwa mwajiri wake?
Naomba kujuzwa kwa jicho la kisheria consequenses za employee kuandika barua ya kumnotify employer kwamba hatataka kurenew mkataba ujao kutokana na sababu binafsi siku 28 kabla ya muda wa mkataba wake kumalizika,kuna haki anaweza akazikosa kutoka kwa mwajiri wake?