OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ukitaka habari zake waulizwe Yanga SC au tazama clip hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walivyo wabishi sasaVyura watajifanya wako busy na UEFA
Sio mimi ni mashabiki, watangazaji na makocha akiwemo MwinyiMna mkuza sana uyu medie magere, eti terminator 😁😁
Terminator anaetambulika ni Messi
Sio wivu sababu ilishatokea kwetu tena ilikuwa Kocha na Mchezaji ndani ya mwezi mmoja na hatukuona jambo kuuubwa.
Mtani au Kagere ndio wa kwanza toka msimu uanze?
Naona wanafanya story wakati sisi wala siyo issueSio wivu sababu ilishatokea kwetu tena ilikuwa Kocha na Mchezaji ndani ya mwezi mmoja na hatukuona jambo kuuubwa.
Hahahaaa. Sema na wewe.Naona wanafanya story wakati sisi wala siyo issue