Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Pole kwa majirani, RIP to the loved ones, tuko pamoja, hawawezi kutushinda hawa "cowards", Kenyans will come out even stronger than before...
 
Poleni sana jirani zangu; sasa mtatoa lini majeshi yenu kule Somalia?
 
mmoja aliyehusika huyo
 

Attachments

  • 49948065_347089899210365_7951638946427961344_n.jpg
    48.4 KB · Views: 37
  • 50289638_347089879210367_4317560610683355136_n.jpg
    33 KB · Views: 41
Ktk iyo picha ya kwanza kabia huyu brother mwenye hat kwa kichwa alionyesha ushupavu sanaa maana alikuwa amevaa open shoes akaingia ktk battle field au holy war in inappropriate manner
 
Ktk iyo picha ya kwanza kabia huyu brother mwenye hat kwa kichwa alionyesha ushupavu sanaa maana alikuwa amevaa open shoes akaingia ktk battle field au holy war in inappropriate manner
Hawa watu wa kazi hata kama anakata gogo akiambiwa kuna zali anaachilia. Mie nawapenda sn wazalendo wa aina hii wako tayari kufa kwa ajili ya nchi.
 
Duh
Kenya imekwisha kabisa walahi
In your own imaginary terroristic thoughts.....The country in front of you is always kenya.It will take you 500 years to be where we are.
 
una macho makali sana,nimezoom huo mguu noma umesimama hatar halaf bado wa moto huo,sema nini mumeo anafaidi sana mana mtoto wa kike kujua vitu vikali vya kiume lazma jamaa awe mtu wa kutupia sana

Na kama hajui lazima atajua tu hahaaaaa, Asante Mkuu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanaume bado wapo kwenye dushee la mkeo.idiot
Hiyo dozi uliyompa sidhani kama atarudi tena. Mitanzania tuko minafiki sana eti baadhi inachekelea. Vita haina macho ndugu zangu na haichagui. Hadi nasikia aibu kuwa MTZ!
 
Daa!,mkuu eyamango pole kwa kutoielewa comment yangu,pole sana.

POLE SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu kwa kunipa pole.Tafadhali nitumie hiyo komenti niliyo-quote huenda sikuielewa vizuri nikutendee haki. Nimejibu kwa quote komenti yako kutokana na komenti za wadau wengine kuitakia Tanzania na Watanzania mabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…