Terrorist

Terrorist

Joined
Dec 10, 2018
Posts
11
Reaction score
7
Tanzania tupo vizuri.

Ikitokea kama ya kenya, tutakamata hadi bodaboda mwenye ndevu nyingi, kijana mchafu, asiye na kitambulisho cha utaifa aliyekuwepo hapo,mpita njia asiyejielewa, etc
Yani tungewashika zaidi ya watu 70 wanaosadikika kuhusika then segereaa kutoka kama uamsho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe una hizo sifa 200%
 
Usiombe kabisaaaa
 
Back
Top Bottom