Tesla Cybertruck: Gari 'game changer'

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,313
Reaction score
12,170
Hii Tesla Cybertruck inabadili tafsiri ya gari kwa karne hii. Hii gari kimuonekano ni kama SUV lakini hili ni Pick up!.
Cha kuipa sifa zaidi yenyewe ni EV - electric vehicle lakini imeweza shindanishwa na gari kama Ford F-150.
Imagine siku ya kwanza baada ya kuzinduliwa watu 200,000 wakaweka oda.

Cheki sifa za huu mzigo:-
- Lina siti 6
- Lina autopilot
- Ndani kila kitu ni touchscreen
- Gari nzima ni bulletproof
- Ground clearance yake ni 40cm
- Linafika 100km/h ndani ya sekunde 2.9
- Linaweza vuta mzigo wa tani 6
- Betri yake inaenda umbali wa 800km (linakuja na 120 volt/240 volt AC hii betri unaweza tumia nyumbani).

 
Bullet Proof vioo bado. Siku ya uzinduzi jiwe kidogo tu kioo kikaweka ufa. Ellon akasema kuna room for improvement. So theoretically YES ila practically BADO hatujaona maana ata body walitest na Nyundo sio risasi.
 
Namkubali Sana Elon Musk

Mwamba Project Zake it's all about changing the World, Atakuja kuwa Among Top five Billionaires huko baadae

Hii ni Miradi inayoendelea
SolarCity
SpaceX
Tesla

Artificial intelligence, AI Na Star Link hii bado iko jikoni

Hilo Cybertruck bei yake ina Range 40,000$ Mpk 70,000$
 
Litakutesa kama watu wanavyohaha na battery la Toyota Prius Hybrid. Lile battery likifa ni nusu ya bei ya gari jipya (zero kilometer)

Sent from my SM-A205F using Tapatalk
Africa bila. Kua na viwanda vyetu tutateseka sana gari kama hiyo kuimiliki tuu ni garama kubwa!! Ukiinunua mtumba ndo itakufilisi maana kila kitu ni umeme na ni touchscreen na lifespan yake inakua ukingoni.

Magari ya duniaijayo yatakua hivi
 
Gari litanunuliwa na vichaa
 
Bullet Proof vioo bado. Siku ya uzinduzi jiwe kidogo tu kioo kikaweka ufa. Ellon akasema kuna room for improvement. So theoretically YES ila practically BADO hatujaona maana ata body walitest na Nyundo sio risasi.
View attachment 1306038

Ilimuaibisha sku hiyo akaanza kwa mbwembwe sema akaidodge vizuri
 
Litakutesa kama watu wanavyohaha na battery la Toyota Prius Hybrid. Lile battery likifa ni nusu ya bei ya gari jipya (zero kilometer)

Sent from my SM-A205F using Tapatalk
Prius inacheza kwenye sh ngapi na hizo betri kufa kwake inaweza kuchukua muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…