Tesla Model S Plaid revealed: Elon Musk calls it the ‘quickest production car ever’

Uko sahihi kabisa. Engine na gearbox zina moving parts nyingi sana. Tofauti na gari ya umeme.
 
Tech inakuwa sana. Tena haraka sana.
Mabadiliko ya kasi yanayo madhara makubwa kisaikologia. Muandishi Alvin Toffler katika kitabu chake Future Shock (1972)alifafanua madhara ya mabadiliko ya kasi kwa binadamu. Hatimaye tunashuhudia utabiri wake enzi za digitalli.
 
Hawa wazungu wangetuachia Tu Magari yetu ya manual transmission inatosha sasa tumeanza kuhama tena kutoka Kwenye petrol na diesel
 
The Wicked-Fast Next Gen Roadster!
NB;angalia hapo kando ya Model S... Hehe, this guy is a genius... 😂
 
Hii ni itakuwa gari inayotembea haraka zaidi duniani.

Kwanza naona ina zaidi ya 1000HP.

0 to 60mph ambayo ni equivalent na 0 to 100kph inaenda kwa 1.99 sec. Hapa hamna gari yoyote inatia mguu.

Buggati new umeiona?? Kuna buggati chiron supersport ina hp1600 hii ni mashine hakuna anaetia mguu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…