Tesla Model S Plaid revealed: Elon Musk calls it the ‘quickest production car ever’

Ni kweli kabisa.

Mf. Unatoka Dar kwenda Arusha, ukisimama sehemu ya kula hata kwa 15 mins. Unaweza kuongezea chaji gari yako ikakupa hata 200 km extra ukawa umefidia km zote za kutokea mwanzo.
Na umeme wetu huu unaweza likokota hadi uendapo
 
Volkswagen ID 4 ambalo ni wadhamini wa michuano ya Euro ni balaa tupu Jana nilikuwa nimeona Kwenye uzinduzi wa michuano kulikuwa na demo ya hilo gari linazunguka uwanjni aisee hawa wazungu wako mbali Sana Kwenye technology
Watu wamechachamaa huko duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…