denniehanda
Member
- Apr 11, 2019
- 12
- 28
Zimepita siku 515 toka Kampuni ya Tesla kutangaza kuwa gari yao aina ya Tesla Roadster imeanza safari kuelekea Mars.
Mpaka kufikia Mwaka jana gari hio ilikua ishatembea maili milioni 179 Kwa spidi ya 35,000 mph, taarifa hizo zilitolewa na website ya WhereIsRoadster.com
Elon Musk alitaka bodi sakiti ya gari hio iandikwe "Made On Earth By Humans", badala ya kuandikwa "Made in USA" au "Made by Tesla". Musk alifanya hivo ikiwa ni sehemu ya heshima na kututambulisha Binadamu huko kwenye anga la ndani endapo kama gari hio ikikutwa na viumbe wengine.
Tesla Roadster ndio gari pekee kuwahi kutengenezwa na binadamu ambayo ipo mbali zaidi na Dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app