Tesla officially wamezindua Tesla Model Y L, ambayo ni long version ya Tesla Model Y ya kawaida.
Itakuja ikiwa na seat 2 za ziada kwahiyo jumla mtakaa watu sita fresh kabisa.
Ukifananisha na Model Y, hii imeongezeka urefu 180 mm, kimo 24 mm, wheel base 150 mm, na bei ikiongezeka kwa $3,600 hivi.
Tesla zimeachwa mbali Sana na BYD hawa wachina wanajua mno kudesign magari.
Kama mchina ameanza kuuza mabus yake ya Higer na yutong uingereza ndiyo basi tena hiyooo