Tesla waziwekea gari zao mfumo wa "Dog Mode".

Tesla waziwekea gari zao mfumo wa "Dog Mode".

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
5,489
Reaction score
14,091
Teknologia inaenda kwa kasi sana kampuni ya magari ya Tesla wameka mfumo wa Dog Mode katika gari wanazotengeneza.

Huu mfumo humsaidia mwenye gari endapo kapaki gari na ndani kamuacha mbwa wake, hii inasaidia kuondoa usumbufu kwa wapita njia kugonga kioo baada ya kuona mbwa na kutoa hofu kwa wapita njia kuhofia kuna joto ndani ya gari ambapo mbwa yupo muda huo .
20190217_183902.jpg

Kwenye Screen kutakuwa na kioo kinachotoa taarifa ya mwenye gari atarudi punde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom