Mpinduameza
Member
- Aug 6, 2022
- 50
- 99
Huwa naona maneno hayo yameandikwa kwenye trela za magari makubwa naamini wengi wetu tumeona pia.
Yawezekani ni kichekesho ila kwangu naona kuna maana kubwa kwenye huo msemo suala ni uimara wa chombo chako endapo utagonga hilo trela ama utagongwa kwa mbele yaani uso kwa uso (head on crash or collision) au ubavuni .
Great thinkers ambao mko hapa na tech specialists nataka kujua Tanzania tuna car crush lab? Au tunafanya head on collisions tests ili tujihakikishie aina ya magari tunayoleta hapa tutakuwa salama endapo hali hiyo itajitokeza?
Na kwa nini basi wataalamu wetu wa ukaguzi wa magari wasifanye sampling ya aina kumi au ishirini za magari tunayoletwa zaidi hapa kwetu? Ningependa kuhudhuria hiyo crash test nichague vema aina ya gari kulingana na viwango vyake vya usalama.