Test your IQ- part 2

Test your IQ- part 2

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
.........
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    16.6 KB · Views: 391
Boflo bwana..hebu angalia
Kama 3+2=10
Hivyo basi 5=10
Ukija tena 7+2=63
Maana yake 9=63

Kama 5=10, na 9=63
Hivyo basi 5+9=10+63
Jibu litakuwa 73

Nipigie makofi tafadhaliiiii...........
 
Last edited by a moderator:
9+5=126
Workings;
9+5=14
14x9=126
 
Jamani hesabu zina watu wake ..

Kwanza tuarrange makande yetu
2+ 3= 10
6+5= 66
7+2 = 63
8+4= 96

JE 9 + 5 = ?

Simply the answer is a product of the summation per the first degree number..manake

X(2+3) = 10.. But X = first degree numeral in the brackets ambayo in this expression first degree number inayoanza Kwenye majumlisho ni 2. Kwa ivo basi

2(2+3) = 10
Respectively
6(6+5)= 66
7(7+2) = 63
8(8+4)= 96

Kwa ivo Basi simply

9( 9 + 5 )= 126

Embu lete hesabu kavu mkuu Boflo hizi laini tuwaachie chekechea
 
Boflo acha kusumbua watu ubongo.jibu 126 alivyosema Ruta
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umejitahidi kunielewesha
Ubarikiwe...ila hapo (2+5)=10...isomeke (2+3)=10

Jamani hesabu zina watu wake ..

Kwanza tuarrange makande yetu
2+5 = 10
6+5= 66
7+2 = 63
8+4= 96

JE 9 + 5 = ?

Simply the answer is a product of the summation per the first degree number..manake

X(2+5) = 10.. But X = first degree numeral in the brackets ambayo in this expression first degree number inayoanza Kwenye majumlisho ni 2. Kwa ivo basi

2(2+5) = 10
Respectively
6(6+5)= 66
7(7+2) = 63
8(8+4)= 96

Kwa ivo Basi simply

9( 9 + 5 )= 126

Embu lete hesabu kavu mkuu Boflo hizi laini tuwaachie chekechea
 
Jamani hesabu zina watu wake ..

Kwanza tuarrange makande yetu
2+5 = 10
6+5= 66
7+2 = 63
8+4= 96

JE 9 + 5 = ?

Simply the answer is a product of the summation per the first degree number..manake

X(2+5) = 10.. But X = first degree numeral in the brackets ambayo in this expression first degree number inayoanza Kwenye majumlisho ni 2. Kwa ivo basi

2(2+5) = 10
Respectively
6(6+5)= 66
7(7+2) = 63
8(8+4)= 96

Kwa ivo Basi simply

9( 9 + 5 )= 126

Embu lete hesabu kavu mkuu Boflo hizi laini tuwaachie chekechea
Mkuu Bihagaze jina lako limeku-fit kisawasawa.
 
Jamani hesabu zina watu wake ..

Kwanza tuarrange makande yetu
2+ 3= 10
6+5= 66
7+2 = 63
8+4= 96

JE 9 + 5 = ?

Simply the answer is a product of the summation per the first degree number..manake

X(2+3) = 10.. But X = first degree numeral in the brackets ambayo in this expression first degree number inayoanza Kwenye majumlisho ni 2. Kwa ivo basi

2(2+3) = 10
Respectively
6(6+5)= 66
7(7+2) = 63
8(8+4)= 96

Kwa ivo Basi simply

9( 9 + 5 )= 126

Embu lete hesabu kavu mkuu Boflo hizi laini tuwaachie chekechea
..
Pia ukitumia power log unapata 126.0134 sawa Na 126
 
Mbona siwaelewi maana 1's tym nilizan no. system hlf sio yenyewe naomba mniambie ni k2 gan na km unachukua nn ndo ujue h
 
mmmh hapa napita tu, kwa hesabu hizi huenda ndiyo maana vijana wamekula mzinga
 
nimesahau visoda vya kuhesabia nyumbani.....ngoja nikatafute vingine pale kwenye kioski cha mangi:dizzy:
 
Back
Top Bottom