Wikendi hii tunafanya majaribio ya kurusha matangazo moja kwa moja toka studio zetu nje kidogo ya "jiji la Detroit". Tafadhali aribu kusikiliza hapo chini kwenye sehemu inayosema "listen live" kuna picha ya mcheza soka Thiery Henry. Tafadhali tuandikie feedback yako
klhnews@klhnes.com, ili tuamue kama hili ni wazo zuri au la. Ingia
HAPA