Testing

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Posts
2,257
Reaction score
363
Hivi yupo mwanamke yeyote hapa duniani ambaye amewahi kuolewa na maraisi wa nchi mbili tofauti kama huyu mama? Was just wondering what it would mean to any woman to 'get it on' with two different head of states!
Nice weekend.
 
Namtafuta shishi jamani -- weekend baridi -- mvua itakuja -- ntashindwa kutoka -- baridi baridi -- shishi shishi
 
I like it... i though every man has two heads of state sometimes! depending on how you look at it
 
Tehe, tehe, tehe, koooooh! Usinivunje mbavu, japo siongelei wanaume hapa, naongelea wanawake.
NB:MODs mbona nime edit hiyo title lakini imenigomea?
 
Ilikuwa bahati yake Mama Graca Mashel aliyekuwa mke wa Rais wa Msumbiji halafu Mzee Mandela akamuoa alipotengana na Winnie wakati akiwa Rais wa Afrika Kusini. Ni bahati kuu kweli maana sijui iwapo yupo mwengine duniani aliyebahatika hivyo.
 
We can only say she was luck if she was not the course of her abandonment to her former husband otherwise she is just a prostitute and it shouldn't be something for other ladies to learn from
 
...duh, unamzungumzia nani hapa, Graça Machel au Winnie Mandela?

Graça Machel alikuwa mjane tangu mwaka 1986 Samora Machel alipouwawa kwenye ile ajali ya ndege. Mwaka 1998 ndipo alipokuja olewa na Madiba.

Kumweka kwenye daraja la u-prostitute pamoja na kukaa ujane miaka 12 sidhani kama unamtendea haki, au?
 
Namtafuta shishi jamani -- weekend baridi -- mvua itakuja -- ntashindwa kutoka -- baridi baridi -- shishi shishi

mmmm shy kulikoni wantafutaaaaaaaaaaaaa... sema basi nisikie!! am all yours
 
Hivi yupo mwanamke yeyote hapa duniani ambaye amewahi kuolewa na maraisi wa nchi mbili tofauti kama huyu mama? Was just wondering what it would mean to any woman to 'get it on' with two different head of states!
Nice weekend.

this is clearly the work of a very idle mind.... duh!!!!KKN jamani.... mmm ila walianza ku-date lini na mandela???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…