Testosterone injection

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Msaada please,

Wapi nitapata sandano ya Androgen kwa ajili ya kuzipandisha hormone za testosterone.
 
Nenda hospital yote kubwa onana na daktari atakuandikia kipimo kucheki level ya hizo homoni mwilini mwako na akijiridhisha ziko chini ndo hapo matibabu yanaanza na vipimo huchukua atleast siku tatu mpaka wiki kwa hiyo ataangali level ya hizo hormone kwenye damu yako kwa muda huo.

Na si lazima sindano unaweza pia kuongeza hizo homoni mwilini mwako kwa njia asilia kupitia vyakula na mazoezi.
 
Una ED mkuu? nimesoma sehemu wanasema kuna some side effect kama kuota matiti, kuongezeka uzito n.k. Kama issue ni ED, mwandishi wa ED protocol anasema ni % ndogo sana ya ED inasababishwa na low T.

Pole brother wahanga tupo wengi siku moja tutakuwa wataalamu wa tiba, kama mimi nahangaika day and night kupata tiba ya uhakika, naweza kukutumia copy ya ED protocol usome some unaweza pata some ideas kwa ajili ya afya yako.
 
Ndio mkuu naomba unitumie hiyo copy ya ED protocol ,soon tutagundua Dawa .
 

ED protocol ni nini Mr.
 
kapimwe na daktari kwanza ijulikane kama unahitaji au la
 
Ni jambo la hatari sana. Marekani sasa kuna maelfu ya kesi kuhusu jambo hili. Watu wanaopigwa hizi sindano wana tabia ya kufa ghafla kwa mshtuko wa moyo na strokes. Google utaona scientific papers nyingi tu kwenye reputable peer reviewed journals. Know the dangers first before you take that shortcut!
 
Nawashauri tumieni virutubisho - dawa zisizo na kemikali ..... kama upo tayari whatsapp me 0752 693 692.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…