Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi majira ya saa 7:21 mchana

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Nikiwa nimekaa hapa hapa nilipo maeneo fulani ya arusha nimelisikia kabisa, nimewauliza wenzangu kama wamelisikia wakaniambia hakuna walichosikia, narudisha macho kwenye simu mara naiona hii thread, ni kweli limepita hapa, saa na dakika ulizotaja.
 
Ngoja wazee wa per diems waje na V8 kuokota per diems za siku 7 kuratibu tetemeko
 
Majiria ya saa saba na dakika ishirini na moja hivi (7:21) leo tarehe 5 June 2024 limepita tetemeko dogo la ardhi hapa Moshi vijijijji maeneo ya Kilema (haijajulikana maeneo mengine).

Mtikiso huo uliodumu kwa sekunde moja hivi haukuwa na madhara yoyote na hata hivyo kuna uwezekano kuwa watu wengi hawakuweza kuugundua. Meza zilitikisika kidogo na kenchi za paa la nyumba kutoa mlio wa mtikisiko. Tunasubiri seismic station kutupa taarifa zaidi za vipimo vya mtetemo huo.

Pia soma Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora

Hongereni kwa kutetemeshwa....😂😂
 
kuna jamaa nilikua nao wakati tetemeko lilipopita nkawaambia wakuu amsikii kuna kama mtikisiko umepita, walinicheka sana na wakasema ile soda niliyo kua nakunywa nmechanganya konyagii...
ngoja niwatumie link washuhudie hawa wajinga。
 
Majiria ya saa saba na dakika ishirini na moja hivi (7:21) leo tarehe 5 June 2024 limepita tetemeko dogo la ardhi hapa Moshi vijijijji maeneo ya Kilema (haijajulikana maeneo mengine).

Mtikiso huo uliodumu kwa sekunde moja hivi haukuwa na madhara yoyote na hata hivyo kuna uwezekano kuwa watu wengi hawakuweza kuugundua. Meza zilitikisika kidogo na kenchi za paa la nyumba kutoa mlio wa mtikisiko. Tunasubiri seismic station kutupa taarifa zaidi za vipimo vya mtetemo huo.

Pia soma Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora

Ashukuriwe Mungu kwa kuwa hakukuweko na madhara.

Matetemeko yanaongezeka sana
 
Back
Top Bottom