Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi majira ya saa 7:21 mchana

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Nikiwa nimekaa hapa hapa nilipo maeneo fulani ya arusha nimelisikia kabisa, nimewauliza wenzangu kama wamelisikia wakaniambia hakuna walichosikia, narudisha macho kwenye simu mara naiona hii thread, ni kweli limepita hapa, saa na dakika ulizotaja.
 
Ngoja wazee wa per diems waje na V8 kuokota per diems za siku 7 kuratibu tetemeko
 
Hongereni kwa kutetemeshwa....😂😂
 
kuna jamaa nilikua nao wakati tetemeko lilipopita nkawaambia wakuu amsikii kuna kama mtikisiko umepita, walinicheka sana na wakasema ile soda niliyo kua nakunywa nmechanganya konyagii...
ngoja niwatumie link washuhudie hawa wajinga。
 
Ashukuriwe Mungu kwa kuwa hakukuweko na madhara. Ashukuriwe Mungu kwa kuwa hakukuweko na madhara.
 
Matetemeko yanaongezeka sana
 
Mboe anatetemeshwa na Mchungaji Msigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…