Tetemeko la ardhi huko CHINA.....

Mwenyezi Mungu atuepushe na baraa kama hili na awapumzishe waliotangulia panapowastahili. inasikitisha sana, tena sana. Mungu Mkubwa harooo
 
majeruhi ni zaidi ya 230000.pia zimetokea after shock nyingi kama 130 .zina ukubwa wa 5.moja imefukia watu 2000.na nyingine zimejeruhi watu hapa na pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…