Za asubuh waku uku Mbeya mjin tetemeko limepita yan sio poa kabisa apa usingiz umekat wa watalam mtujuze shidann
Hata mimi aisee!Sijalisikia.
Shida nini unauliza?Haujui Mneya ipo ukanda/eneo gani kijiografia?Nenda pale Rift Valley hotel uwaulize.Za asubuh waku uku Mbeya mjin tetemeko limepita yan sio poa kabisa apa usingiz umekat wa watalam mtujuze shidann
Epicenter ni wapi?Kwamba hujui Mbeya ipo bonde la ufa?
Na ni kitu cha kawaida maeneo yalipo bonde la ufa kupata matetemeko madogo ya ardhi...
Kwa leo tetemeko lilikuwa la kipimo cha 4.7, hili unalihisi kabisa hata kama huna uzoefu wa matetemeko...
View attachment 3335680
tectonic plates movementsPlate tectonic movements
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ni katikati ya mapaja ya jimama lililosheheni bara bara.Epicenter ni wapi?