Tetemeko la ardhi nchini Uturuki

Tetemeko la ardhi nchini Uturuki

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Tetemeko la ardhi nchini Uturuki kwenye picha.
FB_IMG_16756897051678997.jpg
FB_IMG_16756897004773137.jpg
FB_IMG_16756896964632068.jpg
FB_IMG_16756896865673321.jpg
FB_IMG_16756896810254769.jpg
FB_IMG_16756896752183573.jpg
FB_IMG_16756896639016478.jpg
FB_IMG_16756896574187737.jpg
FB_IMG_16756896522296143.jpg
 
Nawaza tu Tz ikikumbwa na hili janga
Haya madaraja tunayoyajenga kwa kukamuana jasho tutaanzaje kuyainua upya..maghorofa,hospital,shule,vyuo..
 
Nchi ya mchongo

Tunaowombea Mungu awaepushe na vifo vya watu na wanyama,mali zinatafutwa
 
Ghorofa ni jatari sanna kumbe,mungu awamulike.
Kwa level yetu bora tuendelee na horizontal cities badala ya vertical! Maghorofa ni bomu hatari yakitokea majanga hususan tetemeko na vimbunga.

Na ujenzi huu wa kuchakachua nondo, cement na wataalam na mafundi wenyewe uchwara ikichagizwa na 10%. Mnaitaga expansion joints jengo bado "jipya"; sijui!
 
Kwa level yetu bora tuendelee na horizontal cities badala ya vertical! Maghorofa ni bomu hatari yakitokea majanga hususan tetemeko na vimbunga.

Na ujenzi huu wa kuchakachua nondo, cement na wataalam na mafundi wenyewe uchwara; mnaitaga expansion joints jengo bado "jipya"; sijui!
Ghorofa zetu hazikawii kujipiga mtama mkuu.Dah aisee
 
Miji kama Dodoma iko kwenye ring of fire ujenzi wa maghorofa pale unapaswa kuzingatia viwango sio lelemama au kuendeshwa na siasa!
Kwetu, visivyowezekana kwingine hapa vyawezekana.
 
Dah!..sekunde 90 za tetemeko zimeleta maafa makubwa mno....

Vishindo vya tetemeko vilifika mpaka na nchi za Jordan, Israel, lilikuwa kubwa mno....

Ila wataalamu wanadai majengo mengi Uturuki yaliyojengwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 hayana ubora au uimara ndio maana mengi yameanguka.....tuna la kujifunza hapa.
 
Nawaza tu Tz ikikumbwa na hili janga
Haya madaraja tunayoyajenga kwa kukamuana jasho tutaanzaje kuyainua upya..maghorofa,hospital,shule,vyuo..
Itachukua miaka 200 kurudi tulipokuwa aise na haya mambo si ya kuyaombea

Ova
 
Ujenzi wa ghorofa basi tu ila kiusalama siyo kabisa

Ova
 
Nawaza tu Tz ikikumbwa na hili janga
Haya madaraja tunayoyajenga kwa kukamuana jasho tutaanzaje kuyainua upya..maghorofa,hospital,shule,vyuo..
Usihofu Hilo, Wazungu wapi Tena tutapata misaada ya kutosha Hadi tujiogope wenyewe 😂
 
Back
Top Bottom