Kwa level yetu bora tuendelee na horizontal cities badala ya vertical! Maghorofa ni bomu hatari yakitokea majanga hususan tetemeko na vimbunga.Ghorofa ni jatari sanna kumbe,mungu awamulike.
Ghorofa zetu hazikawii kujipiga mtama mkuu.Dah aiseeKwa level yetu bora tuendelee na horizontal cities badala ya vertical! Maghorofa ni bomu hatari yakitokea majanga hususan tetemeko na vimbunga.
Na ujenzi huu wa kuchakachua nondo, cement na wataalam na mafundi wenyewe uchwara; mnaitaga expansion joints jengo bado "jipya"; sijui!
Miji kama Dodoma iko kwenye ring of fire ujenzi wa maghorofa pale unapaswa kuzingatia viwango sio lelemama au kuendeshwa na siasa!Ghorofa zetu hazikawii kujipiga mtama mkuu.Dah aisee
Kwetu, visivyowezekana kwingine hapa vyawezekana.Miji kama Dodoma iko kwenye ring of fire ujenzi wa maghorofa pale unapaswa kuzingatia viwango sio lelemama au kuendeshwa na siasa!
Itachukua miaka 200 kurudi tulipokuwa aise na haya mambo si ya kuyaombeaNawaza tu Tz ikikumbwa na hili janga
Haya madaraja tunayoyajenga kwa kukamuana jasho tutaanzaje kuyainua upya..maghorofa,hospital,shule,vyuo..
Usihofu Hilo, Wazungu wapi Tena tutapata misaada ya kutosha Hadi tujiogope wenyewe 😂Nawaza tu Tz ikikumbwa na hili janga
Haya madaraja tunayoyajenga kwa kukamuana jasho tutaanzaje kuyainua upya..maghorofa,hospital,shule,vyuo..