Naked Security
JF-Expert Member
- Jan 25, 2018
- 207
- 150
NdioMhhhhh sekunde tatu!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Yeah,nimekurupuka toka kitandani nikifikiri vibaka wamedodosha ukuta
Poleni wakuu ila MKOLOMIJE asjie akalamba tena Rambirambi.Mwanza-Ukerewe
Muda huu limepeta tetemeko La ardhi, eneo la nansio Ukerew limedumu kwa sekunde kati ya 3-5 .
Nadhan tulio karibu na ziwe ndio tumelisikia vizur.
Poleni Sana WAKUU.Yeah,nimekurupuka toka kitandani nikifikiri vibaka wamedodosha ukuta
Toka huko njoo huku Tanzania wwMwanza-Ukerewe
Muda huu limepeta tetemeko La ardhi, eneo la nansio Ukerew limedumu kwa sekunde kati ya 3-5 .
Nadhan tulio karibu na ziwe ndio tumelisikia vizur.
Toka huko njoo huku Tanzania ww Acha ujinga wa kujifanya nanasiYeah,nimekurupuka toka kitandani nikifikiri vibaka wamedodosha ukuta
Iyo ni taarifaAngekua ni mwanaume wa dar kaandika hivi angesemwa mno
Mkuu kalizuia kasema Geita ndio mwishoHapa nimepiga magoti kwa maombi, ili lisikatize bila kupitia Chato....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Limepigwa marufuku kufika ukoHalijafika chato?