Tetemeko laleta funzo Geita juu ya uchimbaji Dhahabu

Tetemeko laleta funzo Geita juu ya uchimbaji Dhahabu

Mhere Mwita

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
235
Reaction score
1,275
Wadau tetemeko limepita Leo ikiwa Siku chache serikali imesaini mkataba Na Mgodi wa madini wa Dhahabu wa Geita (GGM) kuchimba Dhahabu chini kwa chini.(Underground)


Tofauti na zamani walikuwa wanatumia Open cast yaani (shimo tu mpaka chini) kutokana na Tetemeko la Leo kama kungekuwa na underground mining katika mji wa Geita bas Leo tungetangaza maafa makubwa kama Taifa katika mji wetu wa Geita.


Tunaiomba serikali ibadilishe uamuzi wake huo na GGM iitumie njia yake ya zamani ya uvunaji wa Dhahabu kwa kuwahamisha watu na kuwalipa fidia.

Hii itasaidia kuondoa maafa ambayo yanaweza kujitokeza pindi tetemeko litakapojitokeza.
 
Back
Top Bottom