N NUUMA BAKUNYA Member Joined Feb 19, 2013 Posts 23 Reaction score 1 May 14, 2014 #1 Kwa wale mliokosa ajira subilia mda ci mrefu mtapata ajira
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 May 14, 2014 #2 Watu wanapigika mtaani si vema kuweka masihara kwenye hili...l
Safety last JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 4,236 Reaction score 1,411 May 14, 2014 #3 ila hao tamisemi wamewatesa vijana muda mrefu si wataangaze basi hata majina wajue moja hata kama ajira mwakani
ila hao tamisemi wamewatesa vijana muda mrefu si wataangaze basi hata majina wajue moja hata kama ajira mwakani
M mcharge JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 248 Reaction score 49 May 14, 2014 #4 NUUMA BAKUNYA said: Kwa wale mliokosa ajira subilia mda ci mrefu mtapata ajira Click to expand... Mkuu mbona unaongea kirahisi rahisi sana
NUUMA BAKUNYA said: Kwa wale mliokosa ajira subilia mda ci mrefu mtapata ajira Click to expand... Mkuu mbona unaongea kirahisi rahisi sana
chemichemi Senior Member Joined Apr 5, 2014 Posts 116 Reaction score 3 May 14, 2014 #5 NUUMA BAKUNYA said: Kwa wale mliokosa ajira subilia mda ci mrefu mtapata ajira Click to expand... Mkuu,ya kweli hayo?
NUUMA BAKUNYA said: Kwa wale mliokosa ajira subilia mda ci mrefu mtapata ajira Click to expand... Mkuu,ya kweli hayo?