Tetesi: Airtel kubadilika tena!!!


Shamba la bibi halina ubaya wowote.

Unaingia na gia ya kupalilia ukivuna tuu sepa.

Hata kama mie ningekuwa investor nisingeona ubaya wowote.
 
Nchi yetu ni sikivu kwa wawekezaji! eg. richmond, dowans etc.
 
Hakuna tax holiday kwaajili tu umebadili jina... inaonekana watanzania wengi hatuijui nchi yetu? Kwahiyo hata ukabahatika kukutana na mtu anataka kuwekeza kumbe wengi wetu hatuna information za kuwapa.. ndio maana wakenya wanatudharau..!
 
This is too much jamani! Watuonee huruma kidogo!
 
Na kikwete atakwenda kukata utepe wakati wa kubadilisha jina kama alivyo fanya kutoka Zain kwenda Airtel.
Kweli Rais tunae.
 
Hakuna tax holiday kwaajili tu umebadili jina... inaonekana watanzania wengi hatuijui nchi yetu? Kwahiyo hata ukabahatika kukutana na mtu anataka kuwekeza kumbe wengi wetu hatuna information za kuwapa.. ndio maana wakenya wanatudharau..!
Mkuu funguka basi utuepushe na hii dharau.
 
Hata promoshen wanazotangaza ni wizi mtupu. Sasa hivi line yao natumia kwa internet tu. Sio kwa kupiga. Nimepiga cm dkk tatu tsh. 300 off. Hapa tgo na vd heshima...
 


mzee hapo kwenye Fly 540 na Fastjet umechemka mkuu sababu Fly 540 bado wana operate kwa nchi ya Kenya na walichokifanya Fastjet ni kununua routes za fly 540 TZ.... sio kwamba Fly 540 ilibadilishwa kuwa Fastjet
 
Nina ishukuru sana ''eateli mane'' kwani sikukatwa kitu maana pangechika aisee....
 
Ngoja tupate fursa ya uwakala wa kubandika matangazo kwenye nguzo za umeme na kwenye miembe
 
Hiyo sheria ilishabadilishwa zamani... siku kodi inakusanywa kwa kwenda mbele
 
Wengi wetu hapa tunaaply CIVICS kujibu mambo yasiyo hitaji siasa, kwani jina likibadilika linabadilika Tanzania Pekee? Zain walikuwa wanaoperate nchi nyingi za Africa na walipo badili kwenda Airtel ilikuwa ni kwa nchi zote, sasa hapa tunapo anza porojo tunaonekana ni waajabu kabisa,

Na hii ishu ya Kubadili Majina ilisha wahi kutolewa Ufafanuzi wa Kina kabisa Bungeni na Mimi nikiwa Mmoja wapo nilimuelewa Waziri vizuri sana, Tatizo Hii nchi ni kugeuza story za kwenye vijiwe vya kahawa kuwa story za Ukweli

Kubadili Jina la Biashara hakuwezi kumfanya Mmiliki kuendela Kupewa Tax holiday, na nivizuri tukujua kwanza Tax holiday aplication zake zikoje na inafanya vipi kazi,
 

kama itakuwa kweli! sijui ile ndoa kati ya TTCL na AirTel ambayo serikali watupa matumaini ipo katika hatua nzuri ya kuivunjwa kama itawezekana tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…