Tetesi: Airtel kubadilika tena!!!

Orange si kampuni ya Makaburu bali ya Wafaransa! Big up kulinganisha na hawa wababaishaji wa sasa ila walipe capital gain tax
 
Naona kuna haja ya kuweka sheria kampuni ikishatimiza miaka mitano ata ibadilishe majina mara kumi ni kunyuka kodi tuu maana sasa huu uhuni!

Watungs sheria watakula wapi?
 
Lakini kubadili majina mara kwa mara mimi kama mteja wa Airtel kunanikera. Afadhali Vodacom wako stable.

Laut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…