Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Tukio ambalo lilitokea juzi huko Congo inasemekana kuna vijana walitekwa.
UFAFANUZI: Jumla walikua wanne (sina uhakika) mmoja alitaka kuwatoroka wakati wanaondoka nae ghafla walimpiga risasi na kupoteza maisha hapo hapo.
Wawili jana walitoweka mikononi mwa ADF ( jinsi walivyotoka sifaham). Ila jana walifika kambi kuu mjini Beni wakiwa wamechakaa sana sana sana.
Mmoja mpaka sasa haijafahamika inakua
Swali la kujiuliza; iweje wakamatwe watatu wawili watoke mmoja abakie?
Hisia zangu kuingia mikononi mwaka wale jamaa kutoka salama si rahisi. Nahisi walijificha sehemu tangia juzi. Huyo mmoja ndo katekwa maana hajaonekana.