Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Tukio ambalo lilitokea juzi huko Congo inasemekana kuna vijana walitekwa.
UFAFANUZI: Jumla walikua wanne (sina uhakika) mmoja alitaka kuwatoroka wakati wanaondoka nae ghafla walimpiga risasi na kupoteza maisha hapo hapo.
Wawili jana walitoweka mikononi mwa ADF ( jinsi walivyotoka sifaham). Ila jana walifika kambi kuu mjini Beni wakiwa wamechakaa sana sana sana.
Mmoja mpaka sasa haijafahamika inakua
Swali la kujiuliza; iweje wakamatwe watatu wawili watoke mmoja abakie?
Hisia zangu kuingia mikononi mwaka wale jamaa kutoka salama si rahisi. Nahisi walijificha sehemu tangia juzi. Huyo mmoja ndo katekwa maana hajaonekana.
Si kwamba wanalazimishwa kwenda,hilo ni dili kubwa kwa askari wetu na wanagombania hadi kuroga kwenda huko. Wakirudi bongo na madolali ya kutosha,nyumba na magari wananunua.Sioni hata mantiki ya kuwaacha askari wetu kule, nadhani muda umefika wa kuwarudisha ndugu zetu nyumbani...
....wanagombania na kuroga kwenda nchi kama Jordan na nch nyingine zenye usalama zaidi, lkn kwa Kongo na Sudan usalama mdogo mno...Si kwamba wanalazimishwa kwenda,hilo ni dili kubwa kwa askari wetu na wanagombania hadi kuroga kwenda huko. Wakirudi bongo na madolali ya kutosha,nyumba na magari wananunua.