Tetesi: Baada ya Kiki kushindikana, Mapenzi ya Pol Ben na KetobiE hatarini kuvunjika

Halafu hapo Dar amefanya kazi zote unazijua kuanzia kazi za ndani,mama nitilie hadi bar..... sasa hiyo silidi itajificha wapi.?
Sema uzuri hakunaga silidi anayejitangaza. ukiona mtu anajitangaza, weka question mark. wao ambao kweli ni silidi huwa wanaona aibu kujulikana kama hawajawahi kufanya as if wataonekana hawajui mapenzi etc, huwa wanakuja tu kudisclose kwa mtu wanayemuamini sana tu, ila si kwa kila mtu. yeye kaongea kwenye tiviii hahahaha.
 
Hiki kipindi na upepo wa KIKI bora upite imekua to much
 
Nauliza mpakwa mafuta kakuta BIKIRA lakini?

Post sent using JamiiForums mobile app
 


May Allah bless Me and You
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…