Tetesi: Bia zinazo fanyiwa promotion zinakuwa zimemaliza muda wa kutumika.

kigogo1ivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
539
Reaction score
340
Nimemsikia boss moja wa kampuni ya bia akimshauri mteja wake aliye taka ushauri kuhusu bia zilizo maliza muda wa matumizi kwa binadamu. Alimshauli achanganye hizo mbovu na zilizo kuwa nzima kisha afanye promotion ikiambatana na punguzo la bei. Imenifanya niamini kuwa promotion zote zipo kwaajiri ya kuuza sumu kwa binadamu.
 
Si kweli unachosema, na kama huyo mtu aliongea hivyo bai yupo wrong.kuuza product iliyoexpire unaharibu image ya kampuni na kawaida promotions bia ama vinywaji vilivyopo sio kwamba zime expire zinaweza kuwa fresh beer,ila zinaweza kuwepo ambazo zinakaribia muda wake kuisha zikafanyiwa promotion ili ziishe. Na kama kuna kampuni inauza product zilizoexpire hicho ni kinyume cha sheria.coz product ikiwa imeexpire inarudishwa kiwandani na inaharibiwa wakiwepo watu wa tra,watu wa afya wa jiji ama manispaa.
Also hata kwenye supermarkets ukiona bidhaa za chakuka zinauzwa kwa bei nafuu,basi angalia expiring date uone,zinakaribia kuexpire.kwa hiyo means iliyopo ni kuuza hiyo stock kabla ya kuuza mpya

nimemsikia akimwambia kuwa azifute tarehe kisha azichanganye na zile nzima. Nitashangaa km unaweza kunibishia huku nimesikia kwa masikio yangu.
 
Sijakubishia ila nimekupa utaratibu wa kudispose expired products.hakuwa sahihi kufanya hivyo.ila unaponunua bidhaa ya chakula angalia production date and expired date

nimemsikia akimwambia kuwa azifute tarehe kisha azichanganye na zile nzima. Nitashangaa km unaweza kunibishia huku nimesikia kwa masikio yangu.
 
taja jina la ksmpuni na mkoa ili wajirekebishe basi, sasa inasaidia nini wewe kuleta mada humu kama unawaficha? au nawe leo ndo umechoka kudanganya wateja, maana ulisikiaje kama hauhusiki?.

taja
 
Nimemsikia boss moja wa kampuni ya bia akimshauri mteja wake aliye taka ushauri kuhusu bia zilizo maliza muda wa matumizi kwa binadamu. Alimshauli achanganye hizo mbovu na zilizo kuwa nzima kisha afanye promotion ikiambatana na punguzo la bei. Imenifanya niamini kuwa promotion zote zipo kwaajiri ya kuuza sumu kwa binadamu.

Mkuu beer ikikaa sana haiwi sumu.., bali inaweza ika-taste flat na kuwa na flavour tofauti.., kama ambavyo beer inayotoka kutengenezwa inavyokuwa tamu na taste yake sio kwenye peak..

Kwahio haiwi sumu, bali inakuwa imepoteza ule ubora ambao waliupanga kuwa (taste) na kwa mtu anayekunywa atagundua, ila technically sio sumu (ingawa beer yoyote ni sumu hata ambayo ipo kwenye peak.., )

Kwahio Drink Responsively...
 
yero! hii nachanganya mimi....
 
Nimemsikia boss moja wa kampuni ya bia akimshauri mteja wake aliye taka ushauri kuhusu bia zilizo maliza muda wa matumizi kwa binadamu. Alimshauli achanganye hizo mbovu na zilizo kuwa nzima kisha afanye promotion ikiambatana na punguzo la bei. Imenifanya niamini kuwa promotion zote zipo kwaajiri ya kuuza sumu kwa binadamu.

TBS na wizara husika wameenda wapi?
 
Nimemsikia
boss moja wa
kampuni ya bia akimshauri mteja wake aliye taka ushauri kuhusu bia
zilizo maliza muda wa matumizi kwa binadamu. Alimshauli achanganye hizo
mbovu na zilizo kuwa nzima kisha afanye promotion ikiambatana na punguzo
la bei. Imenifanya niamini kuwa promotion zote zipo kwaajiri ya kuuza
sumu kwa binadamu.

Mara nyingi wanafanya hivyo hili ku-liquidaty stock ambayo
inakaribia ku expire, lakini si kwamba bia ziki expire wanazifanyia
promo, hapana, bia iki expire inarudishwa kiwandani, lakini hadi bia
iachwe na ku expire Sales Rep wa hilo eneo itabidi ajieleze kwa
uzembe....
 
Define ku expire.

Bia zina expiration date?

Kama zina expiration date wanabadilisha expiration date?

Kama hazina expiration date unasemaje bia hii ime expire na ile haija expire?

Halafu, bia za bongo hazifanyiwi "pasteurization"?

Kuna tofauti kusema bia zimekaa muda mrefu zimekuwa "flat" na bia zime expire "zimekuwa sumu".
 
yero! hii nachanganya mimi....

too much is harmful and harmful scientifically is poison and poisoin is anything which when enters u,it enterfers the normal functioning of the body. bia huwa tunakunywa ila tukubaliane kwamba inatugeuza tofauti na tulivyo. naweza kojoa hadharani japo mimi bado,wengine hulala mitaroni na kuna wengine huwa ni watu wa matusi bila kusahau wale inaowapelekea kudu na demu hata ambaye ulikuwa huna mpango naye.
 
kama kweli wee mlevi lazima unajua test ya beer mbovu na nzuri.
 
Back
Top Bottom