kigogo1ivi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 539
- 340
Nimemsikia boss moja wa kampuni ya bia akimshauri mteja wake aliye taka ushauri kuhusu bia zilizo maliza muda wa matumizi kwa binadamu. Alimshauli achanganye hizo mbovu na zilizo kuwa nzima kisha afanye promotion ikiambatana na punguzo la bei. Imenifanya niamini kuwa promotion zote zipo kwaajiri ya kuuza sumu kwa binadamu.
Si kweli unachosema, na kama huyo mtu aliongea hivyo bai yupo wrong.kuuza product iliyoexpire unaharibu image ya kampuni na kawaida promotions bia ama vinywaji vilivyopo sio kwamba zime expire zinaweza kuwa fresh beer,ila zinaweza kuwepo ambazo zinakaribia muda wake kuisha zikafanyiwa promotion ili ziishe. Na kama kuna kampuni inauza product zilizoexpire hicho ni kinyume cha sheria.coz product ikiwa imeexpire inarudishwa kiwandani na inaharibiwa wakiwepo watu wa tra,watu wa afya wa jiji ama manispaa.
Also hata kwenye supermarkets ukiona bidhaa za chakuka zinauzwa kwa bei nafuu,basi angalia expiring date uone,zinakaribia kuexpire.kwa hiyo means iliyopo ni kuuza hiyo stock kabla ya kuuza mpya
nimemsikia akimwambia kuwa azifute tarehe kisha azichanganye na zile nzima. Nitashangaa km unaweza kunibishia huku nimesikia kwa masikio yangu.
Nimemsikia boss moja wa kampuni ya bia akimshauri mteja wake aliye taka ushauri kuhusu bia zilizo maliza muda wa matumizi kwa binadamu. Alimshauli achanganye hizo mbovu na zilizo kuwa nzima kisha afanye promotion ikiambatana na punguzo la bei. Imenifanya niamini kuwa promotion zote zipo kwaajiri ya kuuza sumu kwa binadamu.
Mkuu beer ikikaa sana haiwi sumu.., bali inaweza ika-taste flat na kuwa na flavour tofauti.., kama ambavyo beer inayotoka kutengenezwa inavyokuwa tamu na taste yake sio kwenye peak..
Kwahio haiwi sumu, bali inakuwa imepoteza ule ubora ambao waliupanga kuwa (taste) na kwa mtu anayekunywa atagundua, ila technically sio sumu (ingawa beer yoyote ni sumu hata ambayo ipo kwenye peak.., )
Kwahio Drink Responsively...
yero! hii nachanganya mimi....
Nimemsikia boss moja wa kampuni ya bia akimshauri mteja wake aliye taka ushauri kuhusu bia zilizo maliza muda wa matumizi kwa binadamu. Alimshauli achanganye hizo mbovu na zilizo kuwa nzima kisha afanye promotion ikiambatana na punguzo la bei. Imenifanya niamini kuwa promotion zote zipo kwaajiri ya kuuza sumu kwa binadamu.
Nimemsikia
boss moja wa
kampuni ya bia akimshauri mteja wake aliye taka ushauri kuhusu bia
zilizo maliza muda wa matumizi kwa binadamu. Alimshauli achanganye hizo
mbovu na zilizo kuwa nzima kisha afanye promotion ikiambatana na punguzo
la bei. Imenifanya niamini kuwa promotion zote zipo kwaajiri ya kuuza
sumu kwa binadamu.
nimemsikia akimwambia kuwa azifute tarehe kisha azichanganye na zile nzima. Nitashangaa km unaweza kunibishia huku nimesikia kwa masikio yangu.
yero! hii nachanganya mimi....