Tetesi: Billionaire ( Dr. Luis Shika) Kuidhamini Yanga

Nibozali

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
572
Reaction score
1,055
Ule mwendelezo wa Wanachma wa cha mapinduzi kuipenda kilabu ya Yanga inazidi kujidhihirisha, na awamu hii kuna tetesi kuwa billionaire aliyejizolea umaarufu siku za hivi karibuni Dr Luis Shika amepanga kumwaga mabilioni yake kwa klabu ya Yanga SC.

Mtakumbuka kuwa billionaire huyu alitaka kununua nyumba za Lugumi kwa mabilioni ya fedha, na hata alipoalikwa kwenda Kwenye mahafali huko Shinyanga aliahidi kutoa zaidi ya bilioni tatu Tshs.

Kama tetesi za hizi ni kweli basi mahasimu wao simba inayofadhiliwa na Mo Dewji kwa sasa wategemee upinzani mkubwa katika soka
Ngoja tusubiri tuone
 
Nimesikia pia atagonbe ubunge kwa tiketi ya sisiemu kujaza nafasi ya viti vinavyoachwa wazi na wabunge wa kafu wanaotakaza nia ya kumuunga magufull
 
Safi sana... Asirudi nyuma aaagh ya nini kukodisha bora Dk. Shika aishike Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…