Tetesi:Bundi atua msimbazi ,kwa vilao vile Omog akibaki Tanzania kwa masaa 18 ijayo mniue

junky

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
413
Reaction score
978
Wana msimbazi leo mitaa ya jioni ilinikutia kariakoo mitaa ya msimbazi ,nikaona kijiwe cha kahawa cha wanachama wa simba nikaamua niende kujumuika nipate vikombe 3 vya kahawa ili nichangamshe musuli na nguvu ya kuhimili foleni na kurudi nyumbani na pia kahawa ina msaada kuchelewesha bao kwa sie tulio oa na kulinda heshima .

Sasa wakati na kunywa kahawa vikao na maneno yalikuwa yanasemwa mpaka hamu ya kuendelea kunywa kahawa iliniishia .

Kwa niliyoyasikia kama kocha Joseph Omog akibakia simba na Tanzania kwa masaa 18 ijayo nitaenda kutoa haja kubwa mitaa ya magogoni
 
Utuambie utapatikana muda gani ili tukuue ??
 
Nyinyi [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Mwisho wa Yote Mutaeka Rehani Makalio Yenu...
Sasa Tangaza Unapopatikana Tukuuwe...

Na Muda Huu Manara Kaweka Wazi Kuwa Omog Bado ni Kocha Wa Simba na anaendelea na Kibarua na Wala Hakuna Mabadiliko Katika Benchi la Ufundi..
 
Kwahiyo Omog akiwepo tukuue au utakwenda kutoa haja? Maana kwenye kichwa unasema hivi, kwenye habari vile
 
Habari wana JF.

Hizi tetesi zinazosemekana mitaani kama zikitimia basi itathibitisha kwamba mchakato wa kubadili timu zetu hasa Simba na Yanga kuendeshwa kibiashara BASI unabidi ufanyike mapema iwezekanavyo. Ukiangalia timing ya hizi tetesi za kung'olewa Omog ni kwamba yeye anaonekana kikwazo cha wapiga deal wanaotaka kuleta wachezaji wao punde dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa. Kwa mfano ukilinganisha CV ya Kocha mpya mtarajiwa Masoud Djuma na ya Omog ni kama mbingu na nchi. Hata hivyo nadhani bado kuna NURU gizani

Omog, Simba ni suala la muda tu
 
Kwenye Suala la CV ninakupinga Kikamilifu...
Hata ANCELOTI CV yake Ni Babkubwa Ukilinganisha na ZIDANE lakini Still Kapokonywa Timu (Real) na Kapewa Zidane..

Watu Hawahitaji CV bali Wanahitaji Mafanikio...

Hata Hivyo [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Propaganda Zenu Zimefeli! Omog ataendelea Kuwa Kocha Wa Simba.
 
Wana msimbazi leo mitaa ya jioni ilinikutia kariakoo mitaa ya msimbazi ,nikaona kijiwe cha kahawa cha wanachama wa simba nikaamua niende kujumuika nipate vikombe 3 vya kahawa ili nichangamshe musuli na nguvu ya kuhimili foleni na kurudi nyumbani na pia kahawa ina msaada kuchelewesha bao kwa sie tulio oa na kulinda heshima .

Sasa wakati na kunywa kahawa vikao na maneno yalikuwa yanasemwa mpaka hamu ya kuendelea kunywa kahawa iliniishia .

Kwa niliyoyasikia kama kocha Joseph Omog akibakia simba na Tanzania kwa masaa 18 ijayo nitaenda kutoa haja kubwa mitaa ya magogoni
Masaa 18 badoo?
 
Nyinyi [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Mwisho wa Yote Mutaeka Rehani Makalio Yenu...
Sasa Tangaza Unapopatikana Tukuuwe...

Na Muda Huu Manara Kaweka Wazi Kuwa Omog Bado ni Kocha Wa Simba na anaendelea na Kibarua na Wala Hakuna Mabadiliko Katika Benchi la Ufundi..
Hata Mayanja alikuwa kocha msaidizi hadi alipo achia ngazi kwa sababu za "kifamilia"
 
Omog aliwapa ubingwa Azam na akafukuzwa....ubingwa wenyewe Simba mliwasaidia kuwapa Azam pointi sita
 
Mtu wa kungolewa Simba ni aliyesajili wachezaji wafuatao
1. Shomari Kapombe
2. Salumu Mohamed (nduda)
3. John Boko
4. Nicolous Gyan
Nilimsikia shabiki mmoja wa Sinba akilalama kwamba kumsajili John Bocko na kumuacha Ajib ni akili ya matope.
Pia nimemsikia Manara.Anawalaumu marefa kwenye maeneo anayodai Simba inaonewa na marefa.
Kwa sababu zilizo wazi, hakuweza kuonyesha maeneo waliyopendelewa, mf siku ya Njombe Mji.
Mpira wetu una safari ndefu. Kiongozi should have demanded performance from his highly paid players. Wanapashwa kurejesha thamani ya gharama iliyowasajili(value for money).
Hii habari ya kulia lia hivyo ni ya hovyo. Idd Amin alisema katika mchezo (wa ngumi) ili kumdhibiti mwamuzi anayekuonea, "you win by knockout!"
Halafu waache kusajili makapi. Ni Simba hii iliyokuwa imetoa mfano kwa kutengeneza tiny ya vijana akina Christopher Edward, Haruna ChanongoWilliam Lucian nk. Manara anaweza kueleza kwa nini vijana hawa na skina Tambwe na sasa Ajibu walitoka Simba?
 
Bora aondoke tu. Simba ina kikosi kizuri kuliko timu yoyote....lakini unaona jamaa wanarukaruka tu uwanjani. Wanapiga pasi fyongo halafu wananyang'anywa mipira kizembe sana. Omog hafai!
 
Wachezaji mnawasajilia hospital mnamlaumu mzee wa watu
 
Wana msimbazi leo mitaa ya jioni ilinikutia kariakoo mitaa ya msimbazi ,nikaona kijiwe cha kahawa cha wanachama wa simba nikaamua niende kujumuika nipate vikombe 3 vya kahawa ili nichangamshe musuli na nguvu ya kuhimili foleni na kurudi nyumbani na pia kahawa ina msaada kuchelewesha bao kwa sie tulio oa na kulinda heshima .

Sasa wakati na kunywa kahawa vikao na maneno yalikuwa yanasemwa mpaka hamu ya kuendelea kunywa kahawa iliniishia .

Kwa niliyoyasikia kama kocha Joseph Omog akibakia simba na Tanzania kwa masaa 18 ijayo nitaenda kutoa haja kubwa mitaa ya magogoni
Hivi vikombe vyenu vya kahawa huwa mnaosha kweli maana kila mtu anakunywea hichohicho.
 
Back
Top Bottom