Utuambie utapatikana muda gani ili tukuue ??Wana msimbazi leo mitaa ya jioni ilinikutia kariakoo mitaa ya msimbazi ,nikaona kijiwe cha kahawa cha wanachama wa simba nikaamua niende kujumuika nipate vikombe 3 vya kahawa ili nichangamshe musuli na nguvu ya kuhimili foleni na kurudi nyumbani na pia kahawa ina msaada kuchelewesha bao kwa sie tulio oa na kulinda heshima .
Sasa wakati na kunywa kahawa vikao na maneno yalikuwa yanasemwa mpaka hamu ya kuendelea kunywa kahawa iliniishia .
Kwa niliyoyasikia kama kocha Joseph Omog akibakia simba na Tanzania kwa masaa 18 ijayo nitaenda kutoa haja kubwa mitaa ya magogoni
Habari wana JF.
Hizi tetesi zinazosemekana mitaani kama zikitimia basi itathibitisha kwamba mchakato wa kubadili timu zetu hasa Simba na Yanga kuendeshwa kibiashara BASI unabidi ufanyike mapema iwezekanavyo. Ukiangalia timing ya hizi tetesi za kung'olewa Omog ni kwamba yeye anaonekana kikwazo cha wapiga deal wanaotaka kuleta wachezaji wao punde dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa. Kwa mfano ukilinganisha CV ya Kocha mpya mtarajiwa Masoud Djuma na ya Omog ni kama mbingu na nchi. Hata hivyo nadhani bado kuna NURU gizani
Masaa 18 badoo?Wana msimbazi leo mitaa ya jioni ilinikutia kariakoo mitaa ya msimbazi ,nikaona kijiwe cha kahawa cha wanachama wa simba nikaamua niende kujumuika nipate vikombe 3 vya kahawa ili nichangamshe musuli na nguvu ya kuhimili foleni na kurudi nyumbani na pia kahawa ina msaada kuchelewesha bao kwa sie tulio oa na kulinda heshima .
Sasa wakati na kunywa kahawa vikao na maneno yalikuwa yanasemwa mpaka hamu ya kuendelea kunywa kahawa iliniishia .
Kwa niliyoyasikia kama kocha Joseph Omog akibakia simba na Tanzania kwa masaa 18 ijayo nitaenda kutoa haja kubwa mitaa ya magogoni
Hata Mayanja alikuwa kocha msaidizi hadi alipo achia ngazi kwa sababu za "kifamilia"Nyinyi [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Mwisho wa Yote Mutaeka Rehani Makalio Yenu...
Sasa Tangaza Unapopatikana Tukuuwe...
Na Muda Huu Manara Kaweka Wazi Kuwa Omog Bado ni Kocha Wa Simba na anaendelea na Kibarua na Wala Hakuna Mabadiliko Katika Benchi la Ufundi..
kweli kabisa una akili weweMtu wa kungolewa Simba ni aliyesajili wachezaji wafuatao
1. Shomari Kapombe
2. Salumu Mohamed (nduda)
3. John Boko
4. Nicolous Gyan
Nilimsikia shabiki mmoja wa Sinba akilalama kwamba kumsajili John Bocko na kumuacha Ajib ni akili ya matope.Mtu wa kungolewa Simba ni aliyesajili wachezaji wafuatao
1. Shomari Kapombe
2. Salumu Mohamed (nduda)
3. John Boko
4. Nicolous Gyan
Kwahiyo unampinga Hanspope na untakä ang'oleweMtu wa kungolewa Simba ni aliyesajili wachezaji wafuatao
1. Shomari Kapombe
2. Salumu Mohamed (nduda)
3. John Boko
4. Nicolous Gyan
Wachezaji mnawasajilia hospital mnamlaumu mzee wa watuBora aondoke tu. Simba ina kikosi kizuri kuliko timu yoyote....lakini unaona jamaa wanarukaruka tu uwanjani. Wanapiga pasi fyongo halafu wananyang'anywa mipira kizembe sana. Omog hafai!
Hivi vikombe vyenu vya kahawa huwa mnaosha kweli maana kila mtu anakunywea hichohicho.Wana msimbazi leo mitaa ya jioni ilinikutia kariakoo mitaa ya msimbazi ,nikaona kijiwe cha kahawa cha wanachama wa simba nikaamua niende kujumuika nipate vikombe 3 vya kahawa ili nichangamshe musuli na nguvu ya kuhimili foleni na kurudi nyumbani na pia kahawa ina msaada kuchelewesha bao kwa sie tulio oa na kulinda heshima .
Sasa wakati na kunywa kahawa vikao na maneno yalikuwa yanasemwa mpaka hamu ya kuendelea kunywa kahawa iliniishia .
Kwa niliyoyasikia kama kocha Joseph Omog akibakia simba na Tanzania kwa masaa 18 ijayo nitaenda kutoa haja kubwa mitaa ya magogoni